SASA KINAKUWA NA UONEKNO MPYA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI.
Mtaaluma mkuu katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji akiwa anazungumza na wanafunzi wa chuo hicho katika hafla fupi iliyo fanyika chuo ni hapo.
Bw Adsoni ambaye pia ni maatluma mkuu akiwa anasisitiza jambo katika hafla fupi ilifanyika katika ukumbi wa chuo hicho uliopo jiji arusha.
Arusha journalism college ni chuo cha pili katika kutoa mafunzo ya uandishi wa habari na utangazaji,chuo hicho kinapatikana jiji arusha kwa morombo.
Hafla hiyo iliyofanyika chuoni hapo ikiwa na lengo la kupanua wigo katika sekta ya mafunzo ya elimu kwa vitendo chuoni hapo.
Aidha amewataka wanafunzi wajikite katika kujifunza kwa vitendo ilikuweza kupambana na soko la ajira.
Post a Comment