Header Ads

http://mtafitiblog.blogspot.com/p/blog-page.html

Rais Kenyatta wa Kenya alivyomtembelea Rais mstaafu Daniel Arap moi

Rais Kenyatta wa Kenya alivyomtembelea Rais mstaafu Daniel Arap moi

Wakati huu Kenya ikijiandaa kwa Uchaguzi mkuu, Rais wa sasa wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta amemtembelea Daniel Arap Moi nyumbani kwake kabarnet Gardens, Nairobi.
Alimtembelea kumjulia hali Rais huyo wazamani wa Kenya ambaye kwa sasa ana umri wa miaka miaka 93 ambapo aliitawala Kenya kwenye awamu ya pili na kuiongoza kwa miaka 24 kuanzia 1979 hadi 2002.

No comments

Powered by Blogger.