Man United imefuzu kucheza 16 bora ya Europa League dhidi ya St Etienne
Ukiwa unasubiria michezo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya inayochezwa leo usiku wa Februay 22 2017, kumbuka kuwa
siku hiyo ilichezwa michezo mitatu ya UEFA Europa League na game ya Man United dhidi ya St Etienne ilikuwa ni moja kati ya game za Europa League zilizochezwa.
Man United baada ya kuifunga St Etienne kwa goli 3-0 mchezo wao wa kwanza katika uwanja wao wa Old Trafford katika mchezo wao wa kwanza wa Europa League, wamefanikiwa kuifunga tena leo katika mchezo wao wa marudiano uliyochezwa Ufaransa.
St Etienne wakiwa nyumbani wamejikuta wakikubali kipigo cha goli 1-0 na kuondolea katika michuano ya Europa League kwa jumla ya goli 4-0, goli la Man United likifungwa na Henrik Makhitaryan dakika ya 16, ushindi huo unawapeleka Man United hatua ya 16 bora ya Europa League

Post a Comment