Jipya kutoka kwa Kamishna wa kupambana na dawa za kulevya kuhusu waliokamatwa
Sakata la dawa za kulevya bado lipo kwenye vichwa vya habari ambapo juzi Mkuu wa mkoa Paul Makonda alikabidhi majina 97 ya watu waliotajwa kwenye tuhuma za biashara hiyo.
Leo Kamishna wa Idara ya kupambana na dawa za kulevya Mihayo Msikhela amesema wamewakamata watu wawili na bado wengine wanaendelea kutafutwa ambapo Waandishi walipotaka wawili hao watajwe majina, amesema kuwataja haitakua sahihi na kusema uingizwaji wa dawa za kulevya nchini unausisha sekta nyingi sana na wawili hao ambao wamekatwa wanatoaka katiaka sekta ya mapato na matumizi TRA na kusema mikoa ya tanzania bara yote bado inaendelea na operesheni na kupata mafanikio ni tanga,simiyu na mikoa mingine lakini mkoa ulio fanaya vizuri katiaka operesheni hii ni mkoa ni mkoa wa simiyu mara baada ya kuteketeza mashamabaya bangi yenye ekari 40 ukifuatiwa na mkoa wa tarime na loria yenye ukubwa wenye ekari 36 na dawa za viwandani mkoa wa lindi umekata kete 50 na gramu 40 ambazo zimeshapelekwa kwa mkemia mkuu
Watu walio kamatwa mpaka sasa ni takribani watu imesemakana kuwa ni wengi

Post a Comment