Mshukiwa mkuu wa mihadarati akamatwa Tanzania
Maafisa wa polisi
nchini Tanzania wanasema kuwa wamemkamata kiongozi wa ulanguzi wa dawa
ya kulevya aina ya heroine anayefanya operesheni zake kati ya Afrika
mashariki na China.
Maafisa hao wanaokabiliana na ulanguzi wa
mihadarati wanasema kuwa Ayub Mfaume ambaye anajulikana kama kiboko
alikuwa mmoja wa watu wanaotafutwa sana nchini humo.Maafisa hao wanasema kuwa Bwana Mfaume alijisalimisha kwa maafisa hao kufuatia msako wa wiki mbili dhidi ya walanguzi wa mihadarati
Post a Comment