YAMETIMIA KWA ALI KIBA
Alikiba kakabadhiwa Tuzo yake ya MTV EUROPE leo
Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba
leo Johannesburg South Africa amekabidhiwa tuzo yake ya MTV EURO
aliyoshinda baada ya tuzo hiyo kutolewa kimakosa kwa Mwimbaji staa wa
Nigeria Wizkid.
November 2016 MTV EUROPE walitoa tamko kwamba tuzo hiyo aliyestahili kupewa alikua ni Alikiba ambaye mpaka muda wa mwisho kwenye utoaji tuzo ndio alikua anaongoza kwa kupigiwa kura nyingi na Mashabiki mitandaoni.
Baada ya November 2016 kutangazwa kwamba itachukuliwa kwa Wizkid ili apewa Alikiba, leo February 17 2017 ndio Alikiba amekabidhiwa na MTV kwenye mji wa Johannesburg Afrika Kusini ambapo baada ya kukabidhiwa ameongea machache yafuatayo

Post a Comment