Maneno ya Wema Sepetu baada ya kuona Yusuph Manji kaachiwa kwa dhamana
fB insta twitter
Mwigizaji Wema Sepetu ameyaandika
haya baada ya kuona taarifa za Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti wa
Yanga kuachiwa kwa dhamana leo Mahakamani Kisutu Dar es salaam baada ya
kushikiliwa kwenye sakata la dawa za kulevya.
Post a Comment