TUNDULISSU MIKONONI MWA POLISI
Moja ya Habari zilizonifikia kutoka Dar es Salaam ni kuhusu Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika ‘TLS’ ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu kukamatwa na Polisi akiwa Airport Dar es Salaam.
Tundu Lissu amekamatwa akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Mawakili.
.
Post a Comment