Maneno 30 Ridhiwani Kikwete aliyoyaweka kwenye picha yake na Lowassa
Mbunge wa Chalinze kupitia CCM Ridhiwani Kikwete ni miongoni
mwa waliohudhuria mechi ya Simba vs Yanga uwanja wa Taifa Dar es salaam
ambapo walikua wamekaa V.I.P pamoja na Wanasiasa wengine akiwemo Waziri
mkuu mstaafu Edward Lowassa.
Saa kadhaa baadae baada ya kukutana nae na kusalimiana na kupigwa picha pamoja, Ridhiwani amechukua time yake kuandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram >>> Siasa ni Shule ambayo haina mwisho. Nahisi bado niko shule ya Msingi na ninaendelea kujifunza.#miminikazitu #chalinzenikazitu#siasasivita #tuhubiriupendo“

Post a Comment