Header Ads

http://mtafitiblog.blogspot.com/p/blog-page.html

WALIO FUKIWA MGODINI NDUGU WAKATA TAMAA

MARA: Ndugu wa waliofukiwa Mgodini Butiama wameanza kukata tamaa



Ni siku ya nne leo tangu kutokea tukio la watu kufukiwa ndani ya Mgodi Buhemba wilaya ya Butiama Mara ambapo juhudi bado zinaendelea za kuwaokoa Watu wanne walioko chini ya ardhi ambao haijulikani kama bado wapo hai.
Ndugu wa Waliofukiwa wameanza kupoteza matumaini ya kuwapata ndugu zao wakiwa hai, mhandishi wa habarii  imezungumza na baadhi ya ndugu ambao wapo eneo la tukio kwa siku ya nne sasa wakiwangoja ndugu zao kuokolewa 

No comments

Powered by Blogger.