Header Ads

http://mtafitiblog.blogspot.com/p/blog-page.html

‘Kuanzia March 1 pombe za VIROBA Marufuku Tanzania’ – WAZIRI MKUU

Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara yake mkoani Manyara, amezungumza na wakazi wa mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro na kuizungumzia ishu pia ya pombe za VIROBA.
>>>”Tumekaa na wenye viwanda na kukubaliana kuwa wanaotengeneza Pombe waziweke katika ukubwa unaokubalika, sasa hivi viroba vimeenea kila kona hata watoto wa shule za msingi wanatumia kwa sababu ni rahisi kuweka mfukoni na kutembea navyo…. kuanzia tarehe moja March, tutakaemkamata ameshika pombe ya viroba, sisi na yeye

No comments

Powered by Blogger.